7 research outputs found

    African Linguistics in Central and Eastern Europe, and in the Nordic Countries

    Get PDF
    Non peer reviewe

    Athari ya Washairi Wakongwe Juu ya Washairi wa Kisasa: Mfano wa Muyaka Bin Haji na Ahmad Nassir

    No full text
    Kwa kutumia vichwa vya mashairi, umbo na mtindo, msamiati na maudhui, makala hii inavitambulisha baadhi ya vipengele vya usanifu vinavyopatikana katika ushairi wa Muyaka wa Muhaji na jinsi ambavyo vipengele hivyo vimeathiri, kila kimoja kwa kiasi chake, ushairi wa Ahmad Nassir katika diwani ya Malenga wa Mvita. Makala inatumia tungo za Muyaka zilizochambuliwa na Mohamed Hassan Abdulaziz na kuchapishwa mwaka wa 1979. Humu mnaonyesha kiwango cha athari za ushairi wa Muyaka na kuthibitisha jinsi mvuto mkubwa na usanifu wa tungo za Muyaka ulivyowapendeza washairi wa karne ya ishirini kama Ahmad Nassir

    LUGHA KAMA KITAMBULISHO: CHANGAMOTO YA “SHENG” NCHINI KENYA

    No full text
    Makala hii inajadili suala la lugha na utambulishaji wa utamaduni. Inasisitizwa katika makala hii kwamba iwapo lugha itachukuliwa kuwa ni kielelezo na nyenzo ya utamaduni wa kitaifa, basi, katika muktadha wa Kenya ya sasa, kielezo hicho kinatetereka kutokana na hali ya kutatanisha ya lugha nchini humo. Utata huu unadhihirishwa na kuzuka kwa msimbo wa vijana uitwao’ “Sheng” ndiko chanzo cha utata huo wa kilugha na kitamaduni, na makala inasisitiza kuwa hali hii ni ishara ya vijana kutokuridhika kitamaduni katika jamii ya kisasa. Makala inamalizia kwa kueleza haja iliyopo ya kuunda upya sera ya kitaifa ya lugha itakayofafanua hadhi na majukumu ya lugha za kigeni kama Kiingereza kwa upande mmoja na Kiswahili na lugha zingine za kiasili kwa upande mwengine

    Technical report on "a socio-linguistic study of Swahili taarab songs"

    No full text
    Project number related to IDRC support could not be determine

    African Linguistics in Asia and Australia

    No full text
    Asian and Australian institutions with a research focus on African languages are of fairly recent vintage. Japan has a strong academic infrastructure devoted to African linguistics, based in several universities and research centres. China looks back more than 50 years of interest in teaching Swahili and other major African languages, recently broadening the scope to encompass other issues of linguistic interest. In South Korea, teaching Swahili was also the precursor of more general African linguistics, allowing for regional specializations of researchers. In Australia, academic interest emerges with the increasing presence of experts on African languages and linguistics in the country
    corecore