49,398 research outputs found

    Focus in Gur and Kwa

    Get PDF
    The project investigates focus phenomena in the two genetically relatedWest African Gur and Kwa language groups of the Niger-Congo phylum. Most of its members are tone languages, they are similar with respect to word order typology (all are SVO languages), but of divergent morphological type (agglutinating Gur versus isolating Kwa)

    Umuhimu na Changamoto za TEHAMA katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili kwa Wageni

    Get PDF
    Ulimwengu wa utandawazi umesababisha kusambaa kwa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), hususani matumizi ya kompyuta na viambata vyake. Kwa hali hiyo, maendeleo yamesababisha kuenea kwa lugha zinazotumika katika teknolojia hiyo kama vile Kiingereza na lugha nyingine za Kimagharibi, na kwa kiasi kidogo, lugha za Kiafrika kama vile Kiswahili. Hata hivyo, TEHAMA imekuwa ikitumiwa na walimu na wanafunzi katika kufundishia na kujifunzia lugha za kigeni hasa Kiingereza kama inavyoelezwa na Lopez (2016), Bostina (2016), Bilyalova (2016). Aidha, zipo tafiti chache zilizozungumzia changamoto za kutumia Kiswahili katika TEHAMA, kwa ujumla, bila kuzungumzia namna Kiswahili kinavyoweza kutumika kiteknolojia katika ufundishaji na ujifunzaji kwa wageni. Kwa hiyo, makala haya yamejadili suala hilo na yanajikita katika kufafanua umuhimu na changamoto za TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji wa Kiswahili kwa wageni. Aidha, makala haya yametoa mapendekezo ya nini cha kufanya ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza katika ufundishaji na ujifunzaji huo. Data zilizotumika katika makala haya zimepatikana kwa njia ya dodoso. Mkabala wa kitaamuli umetumika katika kuchambua data. Matokeo yamebaini kuwa kuna umuhimu wa kutumia TEHAMA katika kufundishia na kujifunzia Kiswahili kwa wageni kwani inarahisisha ufundishaji kwa maana ya kutumia muda mfupi kufundisha mambo mengi. Pia, inamfanya mwanafunzi afurahie somo bila kuchoka na kupunguza gharama za ujifunzaji. Pamoja na umuhimu huo, zimebainika changamoto katika matumizi ya TEHAMA, yaani wakati mwingine wanafunzi wanapata shida kutumia matini zilizo mtandaoni kutokana na kukosa mwingiliano wa moja kwa moja na mwalimu, kukosekana kwa matini za kutosha na zilizoandikwa kwa usahihi mitandaoni, kukosekana kwa vifaa kama projekta na kompyuta na baadhi ya walimu na wanafunzi kutokuwa na maarifa ya kutosha ya matumizi ya vifaa hivyo. Kwa ujumla, makala yanahitimisha kwamba upo umuhimu wa kupendekeza mbinu zinazoweza kukabiliana na changamoto hizo kama vile kuwa na semina za mara kwa mara za kufundisha namna ya kutumia vifaa vinavyohusiana na TEHAMA, kuwa na vifaa vya kutosha na vinavyokidhi mahitaji y

    The Community Influence of Sponge and Coral Aquaculture in Zanzibar

    Get PDF
    Aquaculture has been presented as a means of income for coastal communities, particularly in the context of climate change and resource exploitation. The NGO Marine Cultures in Jambiani, Zanzibar has established a sponge cultivation program for women in response to declining feasibility of seaweed farming from warming ocean temperatures. In addition, the organization strives to restore a severely damaged reef while providing employment for coral farmers and tour boat operators. This study analyzed the influence of aquaculture on community stakeholders, primarily with respect to sponge cultivation and secondarily in regard to coral farms. Using Marine Cultures as a case study, the principal aim was to investigate the impacts of sponge farms on the lives of women, with supplementary examination of the coral project and potential for community benefit. Participant observation and interviews were employed to generate qualitative data about the farms themselves, Marine Cultures, and the individuals impacted, predominantly women sponge farmers. The results of the study were a holistic narrative of Marine Cultures, four biographical sketches (three sponge farmers and one coral farmer) and a clear representation of aquaculture’s benefits to individuals. Dhahania Kilimo bahari kilifanywa ikiwa ni njia ya kujipatia kipato kwa jamii ya watu wa mwambao wa Jambiani, Katika kukabiliana na hali ya tabia nchi na uvunaji wa maliasili. Taasisi isiyo ya kiserikali ya Kilimo bahari katika eneo la Jambiani, Zanzibar walianzisha upandaji wa spongi bahari (vinja bahari) kwa Wanawake kutoka na wasiwasi wa kushuka kwa uzalishaji wa mwani kutokana na kupanda kwa joto la bahari. Kwa kuongezeka, taasisi hii inaangalia uwezekano wa kurejesha matumbawe yaliyoathiriwa kwa kiwango kikubwa wakati huohuo wakitoa ajira kwa Wakulima wa Matumbawe pamoja waendesha boti. Utafiti huu ulichunguza pamoja na kuchambua ushawishi wa kilimo bahari kwa washika dau wa jamii ya Jambiani, kimsingi kwa kuzingatia kilimo cha Spongi na kilimo cha Matumbawe. Kwa kutumia jumuiya ya “Marine Culture” eneo la Kujifunzia, Madhumuni ya msingi yalikuwa ni utafiti kilimo cha mashamba ya spongi pamoja na maisha ya wakulima wa kike, utafiti wa ziada wa kilimo cha Matumbawe na faida kilimo kwa wanajamii. Uchunguzi kwa vitendo na mahojiano ulifanyika ili kuweza kupata data kuhusiana na mashamba yao, Kilimo bahari, na waathirika, Mara nyingi wakulima wa spongi ni wanawake. Matokeo ya utafiti huu ni kwa ujumla yanasimulia “Marine Cultures,” 4 michoro ya kibinadamu (3 wakulima wa spongi, 1 mkulima wa matumbawe) na uwakilishi mzuri wa faida kwa kilimo mmoja

    Mchango wa lugha ya Kiswahili katika kukuza uzalendo nchini Tanzania

    Get PDF
    Uzalendo ni dhana inayofafanua hali ya mtu kuwa na mapenzi na nchi yake; na hivyo, kuipa thamani. Katika mijadala ya kitaaluma, watafiti mbalimbali kama vile Bar na Amos (2004) na Yonah (1999), wamejadili namna uzalendo unavyoweza kukuzwa katika jamii kwa kuunasibisha moja kwa moja na mapenzi ya mtu binafsi kwa taifa lake pasipo kuunasibisha moja kwa moja na lugha ya Kiswahili kama sehemu ya utamaduni wa taifa na pia nyenzo kuu ya mawasiliano. Jambo hili linasababisha nafasi ya Kiswahili kutopewa umuhimu wake kama nyenzo madhubuti inayoweza kutumika kama njia ya kukuza uzalendo kwa jamii; na kuchochea maendeleo ya taifa. Makala imekusudiwa kuziba pengo hilo kwa kuonesha namna lugha ya Kiswahili inavyoweza kukuza na kuendeleza uzalendo hususani nchini Tanzania. Utafiti uliozalisha makala hii umejikita katika mwegamo wa kitaamuli. Data mbalimbali zinazohusiana na mada ya utafiti zilipatikana maktabani kwa kutumia mbinu ya udurusu wa nyaraka. Vitabu teule vya ‘Babu Alipofufuka’, „Nagona’ na „Nyerere na Safari ya Kaanani’ vimetumiwa kutoa mifano ili kushadidia hoja za msingi. Pia, wimbo wa „Tanzania, Tanzania’ umetumika kutoa mifano hiyo. Mjadala uliongozwa na Nadharia ya Sosholojia ambayo inahusu uchunguzi wa jamii katika masuala mbalimbali ya kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni. Matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa lugha ya Kiswahili ina mchango mkubwa katika kukuza uzalendo nchini Tanzania kwa kutoa mafunzo mbalimbali kwa njia ya mawasiliano ambayo huwaunganisha watu na kuwafanya wamoja. Pia, kupitia tanzu za fasihi, hutumika kutoa mafunzo mbalimbali yanayokusudiwa kumjenga, kumwelimisha, kumwonya na kumhamasisha mwanajamii kuhusu masuala mbalimbali yanayomfanya kuishi kwa kufuata misingi na itikadi za jamii yake

    Attaining Knowledge Workforce Agility in a Product Life Cycle Environment using Real Options

    Get PDF
    The product life cycle (PLC) phenomenon has placed significant pressures on high-tech industries which rely heavily on the knowledge workforce in transferring cutting-edge technologies into products. This thesis examines systems where market changes and production technology advances happen frequently and unpredictably during the PLC, causing difficulties in predicting an appropriate demand on the knowledge workforce and in maintaining reliable performance. Knowledge workforce agility (KWA) is identified as a desirable means for addressing the difficulties, and yet previous work on KWA is incomplete. This thesis accomplishes several critical tasks for realizing the benefits of KWA in a representative PLC environment, semiconductor manufacturing. Real options (RO) is chosen as the approach towards exploiting KWA, since RO captures the essence of KWA-options in manipulating knowledge capacity, a human asset, or a self-cultivated organizational capability for pursuing interests associated with change. Accordingly, market demand change and workforce knowledge (WK) dynamics in adoption of technology advances are formulized as underlying stochastic processes during the PLC. This thesis models KWA as capacity options in a knowledge workforce and develops a RO approach of workforce training, either initial or continuous, for generating options. To quantify the elements of KWA that impact production, the role of the knowledge workforce in production and costs in obtaining KWA are characterized mathematically. It creates necessary RO valuation methods and techniques to optimize KWA. An analytical examination of the PLC models identifies that KWA has potential to reduce negative impacts and generate opportunities in an environment of volatile demand, and to compensate unreliable performance of knowledge workforce in adoption of technology advances. The benefits of KWA are especially important when confronting highly volatile demand, a low initial adoption level, shrinking PLCs, a growing market size, intense and frequent WK dynamics, insufficient learning capability of employees, or diminishing returns from investments in learning. The thesis further assesses RO, as an agility-driven approach, by comparing it to a chase-demand heuristic and to the Bass forecasting model under demand uncertainty. The assessment demonstrates that the KWA attained from the RO approach, termed RO-based KWA, leads to a stably higher yield, to a persistently larger net present value (NPV), and to a NPV distribution that is more robust to highly volatile demand. Subsequently, a quantitative evaluation of KWA value shows that the RO-based KWA creates a considerable profit growth, either with uncertainty in demand or in the WK dynamics. In evaluation, RO modeling and the RO valuation are identified to be useful in creation of KWA value especially in highly uncertain PLC environments. This thesis illustrates the effectiveness of the numerical methods used for solving the dynamic system problem. This research demonstrates an approach for optimizing KWA in PLC environments using RO. It provides an innovative solution for knowledge workforce planning in rapidly changing and highly unexpected environments. The work of this thesis is representative of studying KWA using quantitative techniques, where there is a dearth of quantitative studies in the literature

    An investigation into Kwa Mashu Family and Child Welfare Society as it interacts with other organisations in the provisions of welfare services

    Get PDF
    Bibliography: pages 153-156.The study investigates Kwa Mashu Family and Child Welfare Society, a welfare organization providing child welfare services to the community of Kwa Mashu. This organization interacts with other organizations that serve the interests of the child. The study investigates the Kwa Mashu Family and Child Welfare Society as it interacts with other organizations in the provision of Child Welfare Services. The study was motivated by the earnest desire of the organization to find out from the community of Kwa Mashu how the latter views the society in the midst of changing circumstances within the Township. The study is descriptive and exploratory, it explores and describes the child welfare field. It addresses the development of this field and demonstrates how the political priorities affected child welfare provision in South Africa. The study also gives a brief profile of Kwa Mashu Township in which the society operates. In the analysis of Kwa Mashu Family and Child Welfare Society special attention is given to the structure of the organization and the channels of communication within the organization and between the organization and the community. The study investigates the views and opinions of 50 community organizations operating within Kwa Mashu. The study discovered that these organizations had a variety of views about Kwa Mashu Family and Child Welfare Society. The major discovery was that although the community organizations are aware of Kwa Mashu Family and Child Welfare Society they are unaware of the services offered

    Analisis Estimasi Mobilitas Penduduk Terhadap Dua Pusat Kegiatan Wilayah Di Kabupaten Purworejo Tahun 2013

    Get PDF
    Berdasarkan Rencana Tata Ruang Wilayah (RTRW) Kabupaten Purworejo tahun 2003, Kabupaten Purworejo mengembangkan sistem fungsional dari masing-masing daerah (desa) yaitu dengan pengembangan Kawasan Agropolitan (KWA) sebagai pendekatan pembangunan wilayah. Kabupaten ini membagi dua pusat regional/pusat kawasan agropolitan yaitu Purworejo sebagai pusat pertama dan Kutoarjo sebagai pusat kedua. Setiap pusat memiliki daerah sentra pembangunannya masing-masing. Sehingga dapat diperkirakan penduduk yang berada di daerah sentra akan bermobilitas kearah pusat KWA-nya sendiri. Namun hal tersebut belum tentu terjadi karena banyak faktor yang mempengaruhi, Oleh karena itu, pergerakan penduduk di kabupaten ini perlu dianalisis arah dan volume kecenderungan mereka bermobilitas terhadap dua pusat tersebut. Penelitian ini bertujuan untuk (1) menganalisa estimasi kecenderungan arah pergerakan/mobilitas penduduk dikabupaten ini terhadap dua pusat tersebut, (2) menghitung volume mobilitasnya, (3) mengetahui faktor yang mempengaruhi mobilitas tersebut. Metode yang digunakan adalah analisa data sekunder, sedangkan data primer digunakan sebagai pelengkap informasi. Perhitungan mobilitas penduduk menggunakan rumus Ravenstein. Sedangkan parameter yang digunakan yaitu potensi ekonomi, sosial, dan kemudahan transportasi. Berdasarkan ketiga parameter tersebut akan disatukan dan disimpulkan arah mobilitas dan besarannya. Hasil penelitian menunjukan bahwa Semua kecamatan dalam wilayah KWA I (kecuali Kecamatan Bayan) lebih dominan bermobilitas kearah pusat KWA I dengan volume mobilitas “tinggi” yaitu sebesar 68.55% dan Kecamatan Kaligesing memiliki volume terbesar yaitu sebesar 78,43%. Sedangkan semua kecamatan dalam wilayah KWA II lebih dominan kearah pusat KWA II dengan volume mobilitas “sedang” yaitu sebesar 57,74% dan Kecamatan Butuh memiliki volume mobilitas tertinggi yaitu sebesar 66,09%. Kecamatan Bayan lebih cenderung bermobilitas kearah pusat KWA II dengan volume mobilitas sebesar 59,27%. Faktor pendorong tinggi mobilitas kearah pusat KWA I yaitu karena banyaknya fasilitas ekonomi dan sosial seperti Pasar, Perguruan Tinggi dan Rumah Sakit. Sedangkan mobilitas menuju arah pusat KWA II tertolong oleh peran faktor kemudahan transportasi, jarak dan letak geografis wilayahnya yang berbukit hingga bagian utara pusat KWA II serta berbatasan langsung dengan Kecamatan Baya

    Sulubu bin Nguvumali, mhusika katika Nyota Ya Rehema: kigezo bora kwa Mtanzania wa Tanzania ya Viwanda

    Get PDF
    Fasihi ni taaluma muhimu katika maisha ya binadamu wa zama zote. Taaluma hii humfuata mwanadamu kadiri ya mapito yake ya  kimaisha yanavyokwenda. Ni mwiko taaluma ya fasihi kupitwa na wakati. Tanzania ikiwa katika mkakati wa kufufua na kuimarisha  viwanda, fasihi ina mchango mkubwa katika azma hiyo njema kwa maendeleo ya Watanzania wote, wa vizazi vyote. Mchango wa fasihi ya Kiswahili katika maendeleo ya viwanda haupo katika mahitaji ya viwanda vya uchapishaji wa kazi za fasihi tu, haupo kwa viwanda  kuwasaidia na kuwahamasisha waandishi wa kazi za kubuni za kifasihi kupata fursa ya kuchapisha kazi zao tu, bali pia kwa namna ya  pekee kuchota mifano bora ya kuiga kutokana na baadhi ya wahusika wa kazi za fasihi ambao waandishi wetu wamewahi kuwasawiri katika sanaa zao. Makala hii inanuia kumuangazia mhusika mmojawapo wa kifasihi katika riwaya ya Nyota ya Rehema kama mfano sadifu wa kuigwa na kila Mtanzania katika wakati huu nchi ya Tanzania inapoimarisha viwanda. Mbinu ya uchanganuzi matini imetumika kuibua matendo mfano yatokayo ndani ya uhusika wa Sulubu katika riwaya ya Nyota ya Rehema iliyoandikwa na Mohamed Suleiman mwaka (1972). Makala imeonesha kwa uwazi namna mhusika Sulubu alivyokuwa mstari wa mbele katika mambo mablimbali: kupambana dhidi ya wanaokwamisha maendeleo, kutoa elimu sahihi ya kilimo, kufahamu hali ya soko na mahitaji yake, kujikita katika ufugaji, kufanya kazi kwa bidii bila kukata tamaa pamoja na kuimarisha mashamba ambayo yalionekana hayafai kwa kilimo kama ambavyo Serikali ya Tanzania inavyofufua viwanda vilivyokufa kwa muda mrefu. Kutokana na matokeo ya utafiti huu, makala hii ni muhimu kwa wananchi, wasomi na taifa la Tanzania kwa ujumla. Inaamsha ari ya Watanzania kufanya kazi kwa bidii ili kufufua na kuvilisha viwanda vya Tanzania malighafi zitokanazo na juhudi ya kazi zao wenyewe

    Thamani ya Ujumi wa Kiafrika katika Hadithi Fupi Simulizi za Kiswahili

    Get PDF
    Kuibuka kwa mijadala kuhusu ujumi wa Kiafrika katika nyuga mbalimbali ukiwamo uga wa fasihi, kumechangiwa na mahusiano ya kihistoria ya Waafrika na watu wa mataifa mengine, hususani watu kutoka jamii za Kimagharibi. Kwa karne nyingi Waafrika wameonekana ni jamii ya watu duni, washenzi, washirikina na kwamba Afrika hakuna chochote chenye maana wala chenye kuvutia (Neugebauer, 1991). Mitazamo ya namna hiyo katika kutathmini ulimwengu wa Kiafrika haijaishia kwa wageni tu, bali hata baadhi ya Waafrika walioathiriwa na elimu ya Kimagharibi huuzungumzia utamaduni wa Kiafrika na fasihi yake kwa namna hiyohiyo. Hili linadhihirika bayana pale tunapoona fasihi simulizi ya Kiafrika ikiwamo fasihi simulizi ya Kiswahili inapigwa kumbo na Waafrika wenyewe katika maeneo mbalimbali muhimu ya kijamii (Sanga, 2018). Makala haya yamechambua hadithi fupi simulizi kama sehemu ya fasihi simulizi ya Kiswahili ili kuonesha thamani za ujumi wa Kiafrika kwa ustawi wa jamii za Kiafrika. Utafiti uliozalisha makala haya ulikuwa wa kimaktaba na uwandani. Aidha, data zilikusanywa kwa kutumia mbinu za uchanganuzi matini na mahojiano. Utafiti ulitumia mkabala wa kitaamuli katika uchambuzi na uwasilishaji wa data. Aidha, data hizo pia zilichanganuliwa kwa kutumia misingi ya Nadharia ya Ujumi Mweusi

    Translating Culture: Literary Translations into Swahili by East African Translators.

    Get PDF
    Lengo la makala hii ni kujaribu kufafanua jinsi wafasiri walivyotafsiri kwa Kiswahili baadhi ya riwaya zilizoandikwa kwa lugha za kigeni, enzi za baada ya nchi za Afrika kujipatia uhuru. Kwa ajili ya mada yenyewe nimechagua mkusanyo wa riwaya nne zilizotafsiriwa na Watanzania, yaani Shamba la wanyama (kilichoandikwa na Fortunatus Kawegere, 1967), Shujaa Okonkwo (Clement Ndulute, 1973), Mzee na bahari (Cyprian Tirumanywa, 1980) na Barua ndefu kama hii (Clement Maganga, 1994). Wafasiri hao walikabiliana vipi na vipengele vya kitamaduni vya lugha chanzi (za jamii zenye maisha, dini, misemo, methali tofauti na yao n.k.)? Kwa kuzingatia swali hilo, makala inaeleza baadhi ya mbinu zilizotumiwa na watafsiri wa Kiswahili wakishughulika na maandishi kutoka kwa fasihi ya kigeni
    • 

    corecore