7 research outputs found

    Translating Culture: Literary Translations into Swahili by East African Translators.

    Get PDF
    Lengo la makala hii ni kujaribu kufafanua jinsi wafasiri walivyotafsiri kwa Kiswahili baadhi ya riwaya zilizoandikwa kwa lugha za kigeni, enzi za baada ya nchi za Afrika kujipatia uhuru. Kwa ajili ya mada yenyewe nimechagua mkusanyo wa riwaya nne zilizotafsiriwa na Watanzania, yaani Shamba la wanyama (kilichoandikwa na Fortunatus Kawegere, 1967), Shujaa Okonkwo (Clement Ndulute, 1973), Mzee na bahari (Cyprian Tirumanywa, 1980) na Barua ndefu kama hii (Clement Maganga, 1994). Wafasiri hao walikabiliana vipi na vipengele vya kitamaduni vya lugha chanzi (za jamii zenye maisha, dini, misemo, methali tofauti na yao n.k.)? Kwa kuzingatia swali hilo, makala inaeleza baadhi ya mbinu zilizotumiwa na watafsiri wa Kiswahili wakishughulika na maandishi kutoka kwa fasihi ya kigeni

    Tafsiri za Riwaya za Kigeni kwa Kiswahili nchini Tanzania

    No full text
    Makala hii inazingatia tafsiri ya kifasihi nchini Tanzania enzi za baada ya kujipatia uhuru. Inaeleza baadhi ya mbinu zilizotumiwa na wafasiri wa Kiswahili wakati wakishughulika na kazi za fasihi ya kigeni, hususani jinsi ya kukabiliana na vipengele vya kiutamaduni vya lugha chanzi kama vile kaida za kiutamaduni, misemo, methali n.k. Kwa ajili ya mada hii umechaguliwa mkusanyiko wa tafsiri nne zilizofanywa na Watanzania, yaani Shamba la Wanyama (Fortunatus Kawegere, 1967; tafsiri ya Animal Farm, cha Orwell, 1945), Shujaa Okonkwo (Clement Ndulute, 1973; tafsiri ya Things Fall Apart, cha Achebe, 1958), Mzee na Bahari (Cyprian Tirumanywa, 1980; tafsiri ya The Old Man and the Sea, cha Hemingway, 1952) na Jambo la Maana (Ebrahim Hussein, 1982; tafsiri ya hadithi tatu za Hans Christian Andersen: The Emperor’s New Clothes, 1837, Something, 1858 na The Old Street Lamp, 1847)

    corecore