5 research outputs found

    Uzingatifu wa sarufi katika tafsiri

    Get PDF
    Sarufi inafafanuliwa kama kanuni, sheria au taratibu zinazotawala katika viwango vyote vya uchambuzi wa lugha ambavyo ni umbosauti (au fonolojia), umboneno (au mofolojia), miundomaneno (au sintaksia) na umbomaana (au semantiki). Kuhusiana na masuala ya tafsiri, kanuni muhimu sana zinazopaswa kuzingatiwa ni zile za kiwango cha miundomaneno au sentensi. Kanuni katika kiwango cha miundomaneno, kwa jumla, huwa zinahusu uchaguzi wa maneno sahihi katika muktadha wa maelezo na jinsi maneno kama hayo yanavyopangiliwa kuunda vipashio mbalimbali vya sentensi na sentensi zenyewe. Kwa jumla, huwa kuna aina mbili za tafsiri: tafsiri halisi na tafsiri huru. Nasution 1988 hufikiri kwamba aina hizi mbili za tafsiri hukinzana

    Masuala ya kisarufi katika magazeti ya mitaani ya kiswahili - Tanzania

    Get PDF
    Baada ya kupitishwa kwa sheria iliyoruhusu kuanzishwa kwa magazeti binafsi mnamo 1992, kumeibuka magazeti mengi ya lugha ya Kiswahili nchini Tanzania yanayochapishwa kila siku. Kundi moja la magazeti ni lile la magazeti yanayojulikana kwa jumla kama `Magazeti ya Mitaani´. Magazeti katika kundi hili yanabeba mada nyingi mbalimbali zinazohusu mambo ya watu mitaani, masuala ya mambo ya kidini mitaani, vichekesho, na mara nyingi yale yanayowasibu wanajamii mitaani mmojammoja au kwa jumla. Nia yetu katika makala haya ni kuchunguza masuala ya kisarufi katika maelezo yanayojitokeza katika `magazeti ya mitaani´

    Uzingatifu wa sarufi katika tafsiri

    Get PDF
    Sarufi inafafanuliwa kama kanuni, sheria au taratibu zinazotawala katika viwango vyote vya uchambuzi wa lugha ambavyo ni umbosauti (au fonolojia), umboneno (au mofolojia), miundomaneno (au sintaksia) na umbomaana (au semantiki). Kuhusiana na masuala ya tafsiri, kanuni muhimu sana zinazopaswa kuzingatiwa ni zile za kiwango cha miundomaneno au sentensi. Kanuni katika kiwango cha miundomaneno, kwa jumla, huwa zinahusu uchaguzi wa maneno sahihi katika muktadha wa maelezo na jinsi maneno kama hayo yanavyopangiliwa kuunda vipashio mbalimbali vya sentensi na sentensi zenyewe. Kwa jumla, huwa kuna aina mbili za tafsiri: tafsiri halisi na tafsiri huru. Nasution 1988 hufikiri kwamba aina hizi mbili za tafsiri hukinzana

    Uzingatifu wa sarufi katika tafsiri

    No full text

    corecore