Article thumbnail

Kasha langu: A popular song from Mombasa

By P.J.L. Frankl, Yahya Ali Omar and Janet Topp Fargion

Abstract

Kasha langu ilianza kuimbwa Mambasa takriban myaka arbaini iliyopita, na leo nyimbo hii ikali ikipengeza tangu Mambasa mpaka Unguja, na hata Maskati pia. Na kupengeza huku si kwa sababu ya maneno yake tuu, bali ni kwa sababu hayo maneno yantukuana na mahadhi yake sawa sawa, na ndiyo ikawa haisahauliki kwa utamu wake. Sehemu ya kwanza ya makala haya inahusu ule wimbo wenyewe, yaani mtungaji, utungo wake, matini, tarjuma yake kwa kiIngereza, na maelezo ya maneno magumu; sehemu ya pili inahusu mambo yaliofungamana na hayo mahadhi

Topics: info:eu-repo/classification/ddc/496, ddc:496, Swahili; Musik; Lied <Motiv>; Mombasa, Swahili, Musik, Lied, Mombasa, kasha langu, Swahili, music, song, Mombasa, kasha langu
Year: 2012
OAI identifier: oai:qucosa:de:qucosa:11708
Provided by: Qucosa
Download PDF:
Sorry, we are unable to provide the full text but you may find it at the following location(s):
  • https://ul.qucosa.de/api/qucos... (external link)
  • https://ul.qucosa.de/id/qucosa... (external link)
  • Suggested articles


    To submit an update or takedown request for this paper, please submit an Update/Correction/Removal Request.